Faulink Mauzo ni mfumo wa POS unaokuongeza uaminifu: miamala safi, risiti, ufuatiliaji wa bidhaa, wateja/mikopo, na ripoti za mauzo/faida kwa uelewa.
Kilicho muhimu kwa biashara: POS + Stock + Ripoti — bila usumbufu.
Speed + accuracy + transparency kwa uendeshaji wa biashara.
Majibu mafupi. Ukihitaji msaada, WhatsApp ipo.
Kwa msaada wa kuanza au ushauri wa matumizi — wasiliana nasi.